Listen to nyimbo mpya podcast everyday, Nyimbo Mpya help you to stay updated with new releases and exclusive tracks from your favorite Tanzanian artists.</p>
Mtayarishaji Maarufu wa Muziki Tanzania, S2kizzy amesema wasanii wa sasa wa Bongo Flava hawana nidhamu. S2kizzy ameyasema hayo kwenye mahojiano na kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM alipo ulizwa kuhusu moja ya Post alizoweka kwenye ukurasa wake wa Instagram ikidhaniwa kuwa imemlenga zaidi msanii ibraah ambaye hivi karibuni alionekana kuongea kwa dharau na kusema hawogopi wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz na wengine. Sikiliza S2kizzy alivyosema.
Msanii wa Bongo Flava Yammi, hivi karibuni amekana kuwa na mahusiano na msanii kutoka Label ya WCB Wasafi Mbosso. Yammi alisema hayo akiwa kwenye mahojiano na waandishi wa habari pamoja na Mwijaku. Yammi na Mbosso wamedhani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa muda mrefu baada ya kuonekana kwenye video mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, pamoja na kuachia nyimbo ya pamoja ya “Nitadumu Nae” ambayo imefanya vizuri kwenye chart mbalimbali za muziki wa Bongo Flava.
Zuchu ni mmoja wa wasanii wakubwa wakike kutoka Tanzania,Hadi sasa Zuchu anawakilisha Label ya WCB Wasafi ambayo inamilikiwa na mwanamuziki na mfanyabiashara Diamond Platnumz. Inawezekana unamfahamu Zuchu kwa kusikiliza nyimbo zake lakini yapo mambo mengi ya kufahamu kuhusu msanii huyu. Sikiliza episode hii ya Tatu kumfahamu msanii Zuchu.
Msanii pamoja na mtayarishaji wa muzuki wa Bongo Flava Man Walter hivi karibuni ameachia Nyimbo Mpya ya “Kilegendary” ambayo amemshirikisha Alikiba na Christian Bella. Man Walter aliulizwa chanzo cha ugomvi wake na Alikiba kipindi cha nyuma na Man Walter alijibu haya kupitia kipindi cha Wasafi.
Mahojiano kati ya Msanii kutoka Label ya Konde Gang Ibraah akielezea jinsi alivyo kutana na wasanii kutoka Label ya Wasafi akiwa moja na Mbosso, D Voice moja na Diamond Platnumz Mwenye.
Amanda is a wife. A mother. A blogger. A Christian.
A charming, beautiful, bubbly, young woman who lives life to the fullest.
But Amanda is dying, with a secret she doesn’t want anyone to know.
She starts a blog detailing her cancer journey, and becomes an inspiration, touching and
captivating her local community as well as followers all over the world.
Until one day investigative producer Nancy gets an anonymous tip telling her to look at Amanda’s
blog, setting Nancy on an unimaginable road to uncover Amanda’s secret.
Award winning journalist Charlie Webster explores this unbelievable and bizarre, but
all-too-real tale, of a woman from San Jose, California whose secret ripped a family apart and
left a community in shock.
Scamanda is the true story of a woman whose own words held the key to her secret.
New episodes every Monday.
Follow Scamanda on Apple Podcasts, Spotify, or wherever you listen.
Amanda’s blog posts are read by actor Kendall Horn.